CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026: Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha)
Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: Mazungumzo haya yaliendelea wakati gani?Answer: B. Adhuhuri
- Question 2: Neema angemjibu Pendo vipi baada ya kusalimiwa?Answer: A. Sijambo
- Question 3: Neema alikuwa anakula chakula gani?Answer: C. Ugali na sukumawiki
- Question 4: Nyama ni chakula cha aina gani?Answer: D. Kujenga mwili
- Question 5: Kwa nini Neema alikataa nyama aliyopewa na Pendo?Answer: A. Huwa hali nyama
- Question 6: Kauli, "Bima alikuwa kipenzi cha kila mmoja shuleni," ina maana gani?Answer: A. Alipendwa
- Question 7: Bima alijihusisha na shughuli gani wakati wake wa ziada?Answer: C. Alisoma vitabu vya hadithi na kusakura mtandaoni
- Question 8: Bima alikuwa akiamka wakati gani?Answer: D. Mapambazuko
- Question 9: Ni jambo gani lililosababisha matokeo ya Bima masomoni kudidimia?Answer: C. Maringo
- Question 10: Kulingana na kifungu hiki, kuna aina ngapi za matunda yaliyotajwa?Answer: D. Sita
- Question 11: Dodo hapendi kula tunda gani?Answer: A. Chungwa
- Question 12: Ni tunda gani linalopendwa na Dodo, Beja na Kimo?Answer: D. Mapera
- Question 13: Kwa nini kilimo hutegemewa?Answer: B. Uhai wetu hutegemea lishe bora
- Question 14: Ni wakati gani ambapo mkulima huwa na kazi ngumu?Answer: A. Wakati wa kutayarisha shamba kabla ya upanzi
- Question 15: Mkulima hupata hasara kubwa wakati gani?Answer: D. Wakati wa ukame
- Question 16: Nafasi ya 16Answer: D. Ambaye
- Question 17: Nafasi ya 17Answer: C. Nyingi
- Question 18: Nafasi ya 18Answer: C. Kinachopendwa
- Question 19: Nafasi ya 19Answer: A. Huwala
- Question 20: Nafasi ya 20Answer: C. Kochi
- Question 21: Teua orodha yenye vitenzi pekee.Answer: B. Anika, chora, andika
- Question 22: Katika sentensi, "Msitu huu una wanyama wengi, ule unao wachache," neno "ule" ni:Answer: D. Kiwakilishi
- Question 23: Katika sentensi ifuatayo, kielezi ni kipi? Dereva mwembamba aliendesha gari polepole.Answer: B. Polepole
- Question 24: Ni rangi gani huwa juu katika bendera ya Kenya?Answer: A. Nyeusi
- Question 25: Chagua wingi wa sentensi: Mkoba mpya umeraruka.Answer: D. Mikoba mipya imeraruka.
- Question 26: Jua huchomoza upande gani wa dira?Answer: B. Mashariki
- Question 27: Chagua wingi wa sentensi: Mkeka wa mtume umewekwa.Answer: C. Mikeka ya mitume imewekwa.
- Question 28: Tegua kitendawili hiki: Chalia, chatembea na chala chakula cha mkono.Answer: A. Saa
- Question 29: Jibu la salamu "Chewa" ni lipi?Answer: A. Ewaa
- Question 30: Ni vizuri ___ ndipo uingie ndani ya nyumba.Answer: D. Upige hodi