naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 10

Kulingana na kifungu hiki, kuna aina ngapi za matunda yaliyotajwa?

From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali 10–12.

Kuna aina tofauti za matunda. Dodo anapenda kula nanasi, maembe na mapera. Beja hupenda mapera, machungwa na fenesi. Kimo anapenda fenesi, mapera na ndimu. Matunda huongeza vitamini mwilini mwetu. Vitamini hutukinga kutokana na magonjwa mbalimbali.

Kulingana na kifungu hiki, kuna aina ngapi za matunda yaliyotajwa?

  1. AHamsini
  2. BMingi
  3. CTano
  4. DSita

Answer

D. Sita

Hesabu kila tunda mara moja tu: nanasi, maembe, mapera, machungwa, fenesi na ndimu. Ni aina sita za matunda.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test