naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 16

Nafasi ya 16

From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Jaza nafasi 16–20 kwa jibu lifaalo zaidi.

Paka ni mnyama 16. ________ anapendwa sana katika nyumba 17. ________. Paka wengi hupenda kutulia nyumbani bila tatizo lolote. Chakula 18. ________ sana na paka ni panya. Paka 19. ________ panya wanaoharibu vitu katika nyumba. Unapofuga paka, ni vigumu sana kwa 20. ________ kuharibiwa sebuleni na panya.

Nafasi ya 16

  1. AAmbayo
  2. BAmbalo
  3. CAmbao
  4. DAmbaye

Answer

D. Ambaye

Paka ni mnyama (ngeli ya A-WA, umoja), kwa hivyo tunatumia "ambaye": Paka ni mnyama ambaye anapendwa sana.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test