CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 22
Katika sentensi, "Msitu huu una wanyama wengi, ule unao wachache," neno "ule" ni:
From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi
Jibu maswali 21–30 kulingana na maagizo.
Katika sentensi, "Msitu huu una wanyama wengi, ule unao wachache," neno "ule" ni:
- AKivumishi
- BKielezi
- CNomino
- DKiwakilishi
Answer
D. Kiwakilishi
Katika sehemu ya pili, "ule" limesimama badala ya nomino "msitu" (ule msitu). Neno linalosimama badala ya nomino ni kiwakilishi.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Katika sentensi ifuatayo, kielezi ni kipi? Dereva mwembamba aliendesha gari polepole.Question 23
- Ni rangi gani huwa juu katika bendera ya Kenya?Question 24
- Chagua wingi wa sentensi: Mkoba mpya umeraruka.Question 25
- Jua huchomoza upande gani wa dira?Question 26
- Chagua wingi wa sentensi: Mkeka wa mtume umewekwa.Question 27
- Tegua kitendawili hiki: Chalia, chatembea na chala chakula cha mkono.Question 28