CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 28
Tegua kitendawili hiki: Chalia, chatembea na chala chakula cha mkono.
From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vitendawili
Jibu maswali 21–30 kulingana na maagizo.
Tegua kitendawili hiki:
Chalia, chatembea na chala chakula cha mkono.
- ASaa
- BMtoto
- CMbuzi
- DKengele
Answer
A. Saa
Saa hulia ("ta-ta"), mishale yake hutembea, na "chakula" chake ni kuzungushwa (kutiwa ufunguo) kwa mkono. Jibu ni saa.