CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 3
Neema alikuwa anakula chakula gani?
From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Mazungumzo
Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali 1–5.
Pendo na Neema wako kwenye uwanja wa shule yao wakati wa chakula cha mchana.
Pendo: Hujambo Neema? Leo unakula chakula gani?
Neema: Nala ugali na sukumawiki. Je, wewe unakula chakula gani?
Pendo: Nala wali, nyama na mboga. Chakula chako hakina chakula cha kujenga mwili. Hebu nikugawie nyama.
Neema: Asante sana, Pendo. Samahani, mimi huwa sili nyama.
Neema alikuwa anakula chakula gani?
- AWali, nyama na ugali
- BWali, nyama na mboga
- CUgali na sukumawiki
- DMchuzi wa nyama
Answer
C. Ugali na sukumawiki
Neema alisema, "Nala ugali na sukumawiki." Wali, nyama na mboga ndicho chakula cha Pendo.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Nyama ni chakula cha aina gani?Question 4
- Kwa nini Neema alikataa nyama aliyopewa na Pendo?Question 5
- Kauli, "Bima alikuwa kipenzi cha kila mmoja shuleni," ina maana gani?Question 6
- Bima alijihusisha na shughuli gani wakati wake wa ziada?Question 7
- Bima alikuwa akiamka wakati gani?Question 8
- Ni jambo gani lililosababisha matokeo ya Bima masomoni kudidimia?Question 9