naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 5

Kwa nini Neema alikataa nyama aliyopewa na Pendo?

From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Mazungumzo

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali 1–5.

Pendo na Neema wako kwenye uwanja wa shule yao wakati wa chakula cha mchana.

Pendo: Hujambo Neema? Leo unakula chakula gani?
Neema: Nala ugali na sukumawiki. Je, wewe unakula chakula gani?
Pendo: Nala wali, nyama na mboga. Chakula chako hakina chakula cha kujenga mwili. Hebu nikugawie nyama.
Neema: Asante sana, Pendo. Samahani, mimi huwa sili nyama.

Kwa nini Neema alikataa nyama aliyopewa na Pendo?

  1. AHuwa hali nyama
  2. BAlikuwa na chakula chake
  3. CAlikuwa ameshiba
  4. DPendo alikuwa adui yake

Answer

A. Huwa hali nyama

Neema alisema, "Samahani, mimi huwa sili nyama." Kwa hivyo, alikataa kwa sababu huwa hali nyama.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test