naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 11

Dodo hapendi kula tunda gani?

From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali 10–12.

Kuna aina tofauti za matunda. Dodo anapenda kula nanasi, maembe na mapera. Beja hupenda mapera, machungwa na fenesi. Kimo anapenda fenesi, mapera na ndimu. Matunda huongeza vitamini mwilini mwetu. Vitamini hutukinga kutokana na magonjwa mbalimbali.

Dodo hapendi kula tunda gani?

  1. AChungwa
  2. BMapera
  3. CMaembe
  4. DNanasi

Answer

A. Chungwa

Dodo anapenda nanasi, maembe na mapera. Chungwa halimo katika orodha yake.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test