naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 12

Ni tunda gani linalopendwa na Dodo, Beja na Kimo?

From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali 10–12.

Kuna aina tofauti za matunda. Dodo anapenda kula nanasi, maembe na mapera. Beja hupenda mapera, machungwa na fenesi. Kimo anapenda fenesi, mapera na ndimu. Matunda huongeza vitamini mwilini mwetu. Vitamini hutukinga kutokana na magonjwa mbalimbali.

Ni tunda gani linalopendwa na Dodo, Beja na Kimo?

  1. AChungwa
  2. BPaipai
  3. CMaembe
  4. DMapera

Answer

D. Mapera

Mapera yametajwa katika orodha ya Dodo, ya Beja na ya Kimo. Ndilo tunda pekee wanalopenda wote watatu.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test