naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 18

Nafasi ya 18

From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Jaza nafasi 16–20 kwa jibu lifaalo zaidi.

Paka ni mnyama 16. ________ anapendwa sana katika nyumba 17. ________. Paka wengi hupenda kutulia nyumbani bila tatizo lolote. Chakula 18. ________ sana na paka ni panya. Paka 19. ________ panya wanaoharibu vitu katika nyumba. Unapofuga paka, ni vigumu sana kwa 20. ________ kuharibiwa sebuleni na panya.

Nafasi ya 18

  1. AInayopendwa
  2. BKinaopendwa
  3. CKinachopendwa
  4. DInachopendwa

Answer

C. Kinachopendwa

"Chakula" ni cha ngeli ya KI-VI, kwa hivyo kitenzi huchukua "ki-" na "-cho-": chakula kinachopendwa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test