CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 23
Katika sentensi ifuatayo, kielezi ni kipi? Dereva mwembamba aliendesha gari polepole.
From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
Jibu maswali 21–30 kulingana na maagizo.
Katika sentensi ifuatayo, kielezi ni kipi?
Dereva mwembamba aliendesha gari polepole.
- AMwembamba
- BPolepole
- CAliendesha
- DDereva
Answer
B. Polepole
Kielezi hueleza jinsi kitendo kilivyofanyika. "Polepole" inaeleza jinsi dereva alivyoendesha. "Mwembamba" ni kivumishi.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Ni rangi gani huwa juu katika bendera ya Kenya?Question 24
- Chagua wingi wa sentensi: Mkoba mpya umeraruka.Question 25
- Jua huchomoza upande gani wa dira?Question 26
- Chagua wingi wa sentensi: Mkeka wa mtume umewekwa.Question 27
- Tegua kitendawili hiki: Chalia, chatembea na chala chakula cha mkono.Question 28
- Jibu la salamu "Chewa" ni lipi?Question 29