CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 26
Jua huchomoza upande gani wa dira?
From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Jibu maswali 21–30 kulingana na maagizo.
Jua huchomoza upande gani wa dira?
- AKaskazini
- BMashariki
- CMagharibi
- DKusini
Answer
B. Mashariki
Jua huchomoza mashariki asubuhi na kutua magharibi jioni.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Chagua wingi wa sentensi: Mkeka wa mtume umewekwa.Question 27
- Tegua kitendawili hiki: Chalia, chatembea na chala chakula cha mkono.Question 28
- Jibu la salamu "Chewa" ni lipi?Question 29
- Ni vizuri ___ ndipo uingie ndani ya nyumba.Question 30
- Mazungumzo haya yaliendelea wakati gani?Question 1
- Neema angemjibu Pendo vipi baada ya kusalimiwa?Question 2