naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 1

Mazungumzo haya yaliendelea wakati gani?

From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Mazungumzo

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali 1–5.

Pendo na Neema wako kwenye uwanja wa shule yao wakati wa chakula cha mchana.

Pendo: Hujambo Neema? Leo unakula chakula gani?
Neema: Nala ugali na sukumawiki. Je, wewe unakula chakula gani?
Pendo: Nala wali, nyama na mboga. Chakula chako hakina chakula cha kujenga mwili. Hebu nikugawie nyama.
Neema: Asante sana, Pendo. Samahani, mimi huwa sili nyama.

Mazungumzo haya yaliendelea wakati gani?

  1. AAlasiri
  2. BAdhuhuri
  3. CUsiku
  4. DJioni

Answer

B. Adhuhuri

Mazungumzo yalifanyika wakati wa chakula cha mchana. Wakati wa mchana, saa sita hivi, huitwa adhuhuri.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test