naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 4

Nyama ni chakula cha aina gani?

From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Mazungumzo

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali 1–5.

Pendo na Neema wako kwenye uwanja wa shule yao wakati wa chakula cha mchana.

Pendo: Hujambo Neema? Leo unakula chakula gani?
Neema: Nala ugali na sukumawiki. Je, wewe unakula chakula gani?
Pendo: Nala wali, nyama na mboga. Chakula chako hakina chakula cha kujenga mwili. Hebu nikugawie nyama.
Neema: Asante sana, Pendo. Samahani, mimi huwa sili nyama.

Nyama ni chakula cha aina gani?

  1. AKuongeza nguvu
  2. BKuongeza joto
  3. CKuzuia magonjwa
  4. DKujenga mwili

Answer

D. Kujenga mwili

Pendo alisema chakula cha Neema hakina chakula cha kujenga mwili, akampa nyama. Nyama ina protini inayojenga mwili.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test