CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 25
Chagua wingi wa sentensi: Mkoba mpya umeraruka.
From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
Jibu maswali 21–30 kulingana na maagizo.
Chagua wingi wa sentensi:
Mkoba mpya umeraruka.
- AMkoba mpya umeraruka.
- BMikoba mpya zimeraruka.
- CMkoba mpya zimeraruka.
- DMikoba mipya imeraruka.
Answer
D. Mikoba mipya imeraruka.
"Mkoba" ni wa ngeli ya U-I: wingi ni "mikoba", kivumishi kinakuwa "mipya" na kitenzi kinachukua "i-": Mikoba mipya imeraruka.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Jua huchomoza upande gani wa dira?Question 26
- Chagua wingi wa sentensi: Mkeka wa mtume umewekwa.Question 27
- Tegua kitendawili hiki: Chalia, chatembea na chala chakula cha mkono.Question 28
- Jibu la salamu "Chewa" ni lipi?Question 29
- Ni vizuri ___ ndipo uingie ndani ya nyumba.Question 30
- Mazungumzo haya yaliendelea wakati gani?Question 1