naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 27

Chagua wingi wa sentensi: Mkeka wa mtume umewekwa.

From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi

Jibu maswali 21–30 kulingana na maagizo.

Chagua wingi wa sentensi:

Mkeka wa mtume umewekwa.

  1. AMikeka ya watume yamewekwa.
  2. BMikeka ya watume imewekwa.
  3. CMikeka ya mitume imewekwa.
  4. DMikeka ya mitume yamewekwa.

Answer

C. Mikeka ya mitume imewekwa.

"Mkeka" huwa "mikeka" na kitenzi huchukua "i-" (imewekwa). "Mtume" kwa maana ya nabii huwa "mitume" kwa wingi: Mikeka ya mitume imewekwa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test