CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 30
Ni vizuri ___ ndipo uingie ndani ya nyumba.
From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maneno ya Heshima
Jibu maswali 21–30 kulingana na maagizo.
Ni vizuri ________ ndipo uingie ndani ya nyumba.
- AUpige makofi
- BUpige pasi
- CUpige mbio
- DUpige hodi
Answer
D. Upige hodi
Kabla ya kuingia katika nyumba ya mtu, ni adabu kupiga hodi na kusubiri kukaribishwa.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Mazungumzo haya yaliendelea wakati gani?Question 1
- Neema angemjibu Pendo vipi baada ya kusalimiwa?Question 2
- Neema alikuwa anakula chakula gani?Question 3
- Nyama ni chakula cha aina gani?Question 4
- Kwa nini Neema alikataa nyama aliyopewa na Pendo?Question 5
- Kauli, "Bima alikuwa kipenzi cha kila mmoja shuleni," ina maana gani?Question 6