CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 29
Jibu la salamu "Chewa" ni lipi?
From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maneno ya Heshima
Jibu maswali 21–30 kulingana na maagizo.
Jibu la salamu "Chewa" ni lipi?
- AEwaa
- BMarahaba
- CNjema
- DChewa
Answer
A. Ewaa
Salamu "Chewa" hujibiwa kwa "Ewaa".
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Ni vizuri ___ ndipo uingie ndani ya nyumba.Question 30
- Mazungumzo haya yaliendelea wakati gani?Question 1
- Neema angemjibu Pendo vipi baada ya kusalimiwa?Question 2
- Neema alikuwa anakula chakula gani?Question 3
- Nyama ni chakula cha aina gani?Question 4
- Kwa nini Neema alikataa nyama aliyopewa na Pendo?Question 5