naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 24

Ni rangi gani huwa juu katika bendera ya Kenya?

From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati

Jibu maswali 21–30 kulingana na maagizo.

Ni rangi gani huwa juu katika bendera ya Kenya?

  1. ANyeusi
  2. BKijani
  3. CNyeupe
  4. DNyekundu

Answer

A. Nyeusi

Bendera ya Kenya ina rangi nyeusi juu, kisha nyeupe, nyekundu, nyeupe na kijani chini.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test