naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 20

Nafasi ya 20

From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Jaza nafasi 16–20 kwa jibu lifaalo zaidi.

Paka ni mnyama 16. ________ anapendwa sana katika nyumba 17. ________. Paka wengi hupenda kutulia nyumbani bila tatizo lolote. Chakula 18. ________ sana na paka ni panya. Paka 19. ________ panya wanaoharibu vitu katika nyumba. Unapofuga paka, ni vigumu sana kwa 20. ________ kuharibiwa sebuleni na panya.

Nafasi ya 20

  1. AKitanda
  2. BKinu
  3. CKochi
  4. DMbuzi

Answer

C. Kochi

Sebuleni ndimo tunamoweka makochi. Panya wanaweza kuharibu kochi, lakini paka huwazuia.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test