CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 21
Teua orodha yenye vitenzi pekee.
From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
Jibu maswali 21–30 kulingana na maagizo.
Teua orodha yenye vitenzi pekee.
- AKana, meza, msumari
- BAnika, chora, andika
- CMti, mtu, mto
- DChaki, cheka, chapa
Answer
B. Anika, chora, andika
Vitenzi ni maneno ya kitendo. Anika, chora na andika yote ni vitendo. Orodha nyingine zina nomino kama meza, mti na chaki.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Katika sentensi, "Msitu huu una wanyama wengi, ule unao wachache," neno "ule" ni:Question 22
- Katika sentensi ifuatayo, kielezi ni kipi? Dereva mwembamba aliendesha gari polepole.Question 23
- Ni rangi gani huwa juu katika bendera ya Kenya?Question 24
- Chagua wingi wa sentensi: Mkoba mpya umeraruka.Question 25
- Jua huchomoza upande gani wa dira?Question 26
- Chagua wingi wa sentensi: Mkeka wa mtume umewekwa.Question 27