CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 19
Nafasi ya 19
From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Jaza nafasi 16–20 kwa jibu lifaalo zaidi.
Paka ni mnyama 16. ________ anapendwa sana katika nyumba 17. ________. Paka wengi hupenda kutulia nyumbani bila tatizo lolote. Chakula 18. ________ sana na paka ni panya. Paka 19. ________ panya wanaoharibu vitu katika nyumba. Unapofuga paka, ni vigumu sana kwa 20. ________ kuharibiwa sebuleni na panya.
Nafasi ya 19
- AHuwala
- BHuwakula
- CHukuliwa
Answer
A. Huwala
Paka ndiye anayekula panya, kwa hivyo tunasema "Paka huwala panya". "Hukuliwa" ingemaanisha paka ndiye anayeliwa.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Nafasi ya 20Question 20
- Teua orodha yenye vitenzi pekee.Question 21
- Katika sentensi, "Msitu huu una wanyama wengi, ule unao wachache," neno "ule" ni:Question 22
- Katika sentensi ifuatayo, kielezi ni kipi? Dereva mwembamba aliendesha gari polepole.Question 23
- Ni rangi gani huwa juu katika bendera ya Kenya?Question 24
- Chagua wingi wa sentensi: Mkoba mpya umeraruka.Question 25