naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 17

Nafasi ya 17

From Kiswahili — Endterm 3 Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Jaza nafasi 16–20 kwa jibu lifaalo zaidi.

Paka ni mnyama 16. ________ anapendwa sana katika nyumba 17. ________. Paka wengi hupenda kutulia nyumbani bila tatizo lolote. Chakula 18. ________ sana na paka ni panya. Paka 19. ________ panya wanaoharibu vitu katika nyumba. Unapofuga paka, ni vigumu sana kwa 20. ________ kuharibiwa sebuleni na panya.

Nafasi ya 17

  1. AMengi
  2. BMingi
  3. CNyingi
  4. DZingi

Answer

C. Nyingi

"Nyumba" ni ya ngeli ya I-ZI; kwa wingi tunasema "nyumba nyingi".

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test