CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam: Kiswahili Paper 1 (KJSEA)
Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · Kiswahili Karatasi ya 1 (902/1) — KJSEA · 50 questions
Topics: Kusoma, Kusikiliza na Kuzungumza, Sarufi.
All 50 questions with answers
- Question 1: Kulingana na kifungu ni kweli kuwa:Answer: A. A. Idadi kubwa ya wananchi wanategemea kilimo
- Question 2: Kulingana na kifungu hiki, kilimo hutegemea sekta zifuatazo isipokuwa:Answer: C. C. ujenzi
- Question 3: Kwa mujibu wa kifungu, kilimo kinahusisha kila mmoja katika jamii kwani:Answer: B. B. kinategemewa na kila mtu katika jamii
- Question 4: Kifungu kimebainisha kuwa:Answer: C. C. Kilimo kinahitaji teknolojia ya kisasa na mbinu zifaazo
- Question 5: Neno 'muhali' limetumiwa katika kifungu. Maana yake ni:Answer: D. D. jambo lisilowezekana
- Question 6: Msimamo wa mwandishi kulingana na kifungu hiki ni:Answer: B. B. Kilimo kinaweza kubadilisha maisha ya watu kwa njia bora
- Question 7: Udugu ni mojawapo ya maadili yanayochangia mshikamano wa kitaifa. Chagua jibu linaloonyesha udugu wa Sungura katika kifungu:Answer: D. D. Sungura kuwaita wenzake wale asali aliyopata mwituni
- Question 8: Mwandishi ametumia mbinu mbalimbali kuwasilisha hadithi hii. Je, ni mbinu gani haikutumiwa na mwandishi?Answer: A. A. Sitiari
- Question 9: Kulingana na kifungu:Answer: C. C. Sungura alifyatuka na hivyo Simba hakuweza kumkamata
- Question 10: Kwa nini Simba alimla Panya buku?Answer: C. C. Alikasirishwa na wizi wa asali yake na kutoroka kwa Sungura
- Question 11: Maana ya "kitanda usichokilalia hujui kunguni wake" kulingana na kifungu ni:Answer: C. C. Sungura na Panya buku hawakujua shida alizopitia Simba kuwatunza nyuki
- Question 12: Nahau 'moyo mkunjufu' imetumiwa katika kifungu. Maana yake ni:Answer: A. A. moyo wazi / mkunjufu na wenye furaha
- Question 13: Kulingana na aya ya kwanza, huduma katika asasi za kijamii:Answer: A. A. hazifanani
- Question 14: "Katika familia baadhi ya wazazi hawana uwezo wa kuwapa wanao elimu kutokana na changamoto za umaskini na nyingine za kimaisha." Chagua…Answer: A. A. Maskini kupata ni mwenye nguvu kupenda
- Question 15: Aya ya pili inasisitiza jambo gani katika utoaji wa huduma?Answer: D. D. Usawa
- Question 16: 'Yeyote anayedai hongo ni kupe anayenyonya damu ya wasio na hatia.' Kauli hii imetumia mbinu gani ya lugha?Answer: C. C. Sitiari
- Question 17: Mambo yafuatayo yanaweza kufanywa katika utoaji wa huduma katika asasi za kijamii isipokuwa:Answer: A. A. Kushinikizwa kutoa huduma
- Question 18: Kulingana na jedwali hili, ni mchezo upi ambao shule tatu zilipata kushiriki isipokuwa shule moja tu?Answer: A. A. Voliboli
- Question 19: Neno 'championi' limetumiwa katika kifungu. Kisawe chake si:Answer: D. D. washinde
- Question 20: Kifungu na jedwali hili limeonyesha kuwa:Answer: D. D. Tunapaswa kukubali matokeo na kuonyesha mchezo wa kiungwana
- Question 21: Chagua jibu sahihi kukamilisha nafasi ya 21 iliyoachwa kwenye kifungu:Answer: D. D. Sabalkheri
- Question 22: Chagua jibu lenye neno ambalo Tatu angetumia katika nafasi ya 22 kuonyesha kukubaliana na Pili:Answer: A. A. Naam
- Question 23: Mbali na ugonjwa wa kisukari na saratani, ni ugonjwa gani mwingine ambao hutokana na mienendo ya maisha?Answer: D. D. Shinikizo la damu
- Question 24: Vipengele vifuatavyo vya kusikiliza na kuzungumza vimedhihirika katika mazungumzo haya ila:Answer: C. C. Kuchachawizana au kuvurugana wakati wa mazungumzo
- Question 25: Ni kauli ipi ambayo ilitumiwa na Pili kufariji msiba wa Tatu?Answer: A. A. Makiwa ndugu!
- Question 26: Kifungu kifuatacho kina nafasi ya 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 26:Answer: A. A. yamesababisha
- Question 27: Kifungu kifuatacho kina nafasi ya 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 27:Answer: D. D. yasiyomithilika
- Question 28: Kifungu kifuatacho kina nafasi ya 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 28:Answer: A. A. yasipodhibitiwa
- Question 29: Kifungu kifuatacho kina nafasi ya 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 29:Answer: C. C. nzima
- Question 30: Kifungu kifuatacho kina nafasi ya 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 30:Answer: A. A. kinga ni bora kuliko tiba
- Question 31: Kifungu kifuatacho kina nafasi ya 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 31:Answer: D. D. ndio wanaoathiriwa
- Question 32: Kifungu kifuatacho kina nafasi ya 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 32:Answer: C. C. kuliko
- Question 33: Kifungu kifuatacho kina nafasi ya 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 33:Answer: A. A. , (koma)
- Question 34: Kifungu kifuatacho kina nafasi ya 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 34:Answer: D. D. kuishawishi
- Question 35: Kifungu kifuatacho kina nafasi ya 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 35:Answer: C. C. ifaayo
- Question 36: Ukubwa wa sentensi: 'Kidole cha mtoto kimebanwa na mlango' ni:Answer: B. B. Jidole la mtoto limebanwa na jilango
- Question 37: Chagua sentensi ambayo haiko katika hali ya masharti:Answer: D. D. Wageni waja nyumbani leo jioni.
- Question 38: Sentensi, 'Mwalimu amenunua gari lake,' ina maana zifuatazo isipokuwa:Answer: B. B. Mwalimu amemnunulia mtu anayeitwa Lake gari
- Question 39: Kitenzi shikana kiko katika kauli ya kutendana. Je, ni kitenzi gani kisichokuwa katika kauli ya kutendesha?Answer: D. D. Igiza
- Question 40: Kinyume cha kihusishi chini ya ni juu ya. Je, kinyume cha 'kando ya' ni:Answer: A. A. Mkabala wa
- Question 41: Chagua sentensi iliyo sahihi kisarufi:Answer: D. D. Mahali hapa panatengenezewa simu.
- Question 42: Tambua neno lisilo katika ngeli ya U-ZI:Answer: B. B. Nyasi
- Question 43: Tambua aina ya kielezi kilichokolezwa katika sentensi ifuatayo: Wachezaji walipambana kufa na kupona na hatimaye wakaibuka na ushindi.Answer: C. C. Kielezi cha namna
- Question 44: Kiambishi 'ka' kimetumikaje katika sentensi hii? Mkulima alinunua mbegu, akalima shamba, akapanda mbegu na kupalilia zilipoota.Answer: A. A. Kuonyesha hali ya kufuatana kwa vitendo
- Question 45: Chagua sentensi iliyotumia kihisishi kifaacho:Answer: C. C. Ebo! Hata wewe umejihesabu miongoni mwa watu mashuhuri?
- Question 46: Bainisha usemi wa taarifa wa: "Mwanangu nitakulipia karo kesho," Baba alimwambia mwanawe.Answer: B. B. Baba alimwambia mwanawe kuwa angemlipia karo siku iliyofuata
- Question 47: Chagua sentensi yenye nomino dhahania:Answer: C. C. Furaha ilitanda kote alipoingia nchini.
- Question 48: Tegua kitendawili kifuatacho: Nimechinja ng'ombe wangu; ngozi haramu, nyama haramu, lakini mchuzi ni halali.Answer: D. D. muwa
- Question 49: Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu:Answer: B. B. Kitanda hakijatandikwa na mgeni.
- Question 50: Ni sentensi ipi iliyo na kivumishi kiulizi?Answer: A. A. Yule atapatiwa ng'ombe yupi?