CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 38
Sentensi, 'Mwalimu amenunua gari lake,' ina maana zifuatazo isipokuwa:
From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
38. Sentensi, 'Mwalimu amenunua gari lake,' ina maana zifuatazo isipokuwa:
- AA. Mwalimu amenunua gari kwa ajili ya mtu mwingine ambaye hakutajwa
- BB. Mwalimu amemnunulia mtu anayeitwa Lake gari
- CC. Mwalimu amenunua gari lililokuwa la mtu Fulani
- DD. Mwalimu amenunua gari atakalomiliki yeye mwenyewe
Answer
B. B. Mwalimu amemnunulia mtu anayeitwa Lake gari
Jibu sahihi: B. Mwalimu amemnunulia mtu anayeitwa Lake gari.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Kitenzi shikana kiko katika kauli ya kutendana. Je, ni kitenzi gani kisichokuwa katika kauli ya kutendesha?Question 39
- Kinyume cha kihusishi chini ya ni juu ya. Je, kinyume cha 'kando ya' ni:Question 40
- Chagua sentensi iliyo sahihi kisarufi:Question 41
- Tambua neno lisilo katika ngeli ya U-ZI:Question 42
- Tambua aina ya kielezi kilichokolezwa katika sentensi ifuatayo: Wachezaji walipambana kufa na kupona na hatimaye…Question 43
- Kiambishi 'ka' kimetumikaje katika sentensi hii? Mkulima alinunua mbegu, akalima shamba, akapanda mbegu na kupalilia…Question 44