CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 41
Chagua sentensi iliyo sahihi kisarufi:
From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
41. Chagua sentensi iliyo sahihi kisarufi:
- AA. Nzi ametua kichwani mwa mwanafunzi.
- BB. Chumbani palipofagiwa mmeng'ara.
- CC. Pale anapoenda kutajulikana tu.
- DD. Mahali hapa panatengenezewa simu.
Answer
D. D. Mahali hapa panatengenezewa simu.
Jibu sahihi: D. Mahali hapa panatengenezewa simu..
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Tambua neno lisilo katika ngeli ya U-ZI:Question 42
- Tambua aina ya kielezi kilichokolezwa katika sentensi ifuatayo: Wachezaji walipambana kufa na kupona na hatimaye…Question 43
- Kiambishi 'ka' kimetumikaje katika sentensi hii? Mkulima alinunua mbegu, akalima shamba, akapanda mbegu na kupalilia…Question 44
- Chagua sentensi iliyotumia kihisishi kifaacho:Question 45
- Bainisha usemi wa taarifa wa: "Mwanangu nitakulipia karo kesho," Baba alimwambia mwanawe.Question 46
- Chagua sentensi yenye nomino dhahania:Question 47