CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 47
Chagua sentensi yenye nomino dhahania:
From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
47. Chagua sentensi yenye nomino dhahania:
- AA. Gavana aliwazungumzia wapiga kura.
- BB. Kusoma kwake kulimsaidia maishani.
- CC. Furaha ilitanda kote alipoingia nchini.
- DD. Halaiki ilimpigia makofi alipomaliza kuigiza.
Answer
C. C. Furaha ilitanda kote alipoingia nchini.
Jibu sahihi: C. Furaha ilitanda kote alipoingia nchini..
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Tegua kitendawili kifuatacho: Nimechinja ng'ombe wangu; ngozi haramu, nyama haramu, lakini mchuzi ni halali.Question 48
- Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu:Question 49
- Ni sentensi ipi iliyo na kivumishi kiulizi?Question 50
- Kulingana na kifungu ni kweli kuwa:Question 1
- Kulingana na kifungu hiki, kilimo hutegemea sekta zifuatazo isipokuwa:Question 2
- Kwa mujibu wa kifungu, kilimo kinahusisha kila mmoja katika jamii kwani:Question 3