CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 50
Ni sentensi ipi iliyo na kivumishi kiulizi?
From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
50. Ni sentensi ipi iliyo na kivumishi kiulizi?
- AA. Yule atapatiwa ng'ombe yupi?
- BB. Novela hii iliandikwa lini?
- CC. Kondoo wanaenda wapi?
- DD. Leo ni wangapi wamejeruhiwa?
Answer
A. A. Yule atapatiwa ng'ombe yupi?
Jibu sahihi: A. Yule atapatiwa ng'ombe yupi?.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Kulingana na kifungu ni kweli kuwa:Question 1
- Kulingana na kifungu hiki, kilimo hutegemea sekta zifuatazo isipokuwa:Question 2
- Kwa mujibu wa kifungu, kilimo kinahusisha kila mmoja katika jamii kwani:Question 3
- Kifungu kimebainisha kuwa:Question 4
- Neno 'muhali' limetumiwa katika kifungu. Maana yake ni:Question 5
- Msimamo wa mwandishi kulingana na kifungu hiki ni:Question 6