CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 4
Kifungu kimebainisha kuwa:
From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
4. Kifungu kimebainisha kuwa:
- AA. Wakulima wanategemea mvua pekee kuendeleza kilimo
- BB. Mitandao ya kijamii haichangii ukuaji wa sekta ya kilimo
- CC. Kilimo kinahitaji teknolojia ya kisasa na mbinu zifaazo
- DD. Barabara mbaya ndizo kikwazo kikubwa kwa ukuaji wa kilimo
Answer
C. C. Kilimo kinahitaji teknolojia ya kisasa na mbinu zifaazo
Jibu sahihi: C. Kilimo kinahitaji teknolojia ya kisasa na mbinu zifaazo.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Neno 'muhali' limetumiwa katika kifungu. Maana yake ni:Question 5
- Msimamo wa mwandishi kulingana na kifungu hiki ni:Question 6
- Udugu ni mojawapo ya maadili yanayochangia mshikamano wa kitaifa. Chagua jibu linaloonyesha udugu wa Sungura katika…Question 7
- Mwandishi ametumia mbinu mbalimbali kuwasilisha hadithi hii. Je, ni mbinu gani haikutumiwa na mwandishi?Question 8
- Kulingana na kifungu:Question 9
- Kwa nini Simba alimla Panya buku?Question 10