CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 6
Msimamo wa mwandishi kulingana na kifungu hiki ni:
From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
6. Msimamo wa mwandishi kulingana na kifungu hiki ni:
- AA. Elimu inayohusu kilimo ndio suluhu ya kilimo
- BB. Kilimo kinaweza kubadilisha maisha ya watu kwa njia bora
- CC. Serikali imezembea kuimarisha kilimo nchini
- DD. Kilimo kifanywe na walio na mashamba tu
Answer
B. B. Kilimo kinaweza kubadilisha maisha ya watu kwa njia bora
Jibu sahihi: B. Kilimo kinaweza kubadilisha maisha ya watu kwa njia bora.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Udugu ni mojawapo ya maadili yanayochangia mshikamano wa kitaifa. Chagua jibu linaloonyesha udugu wa Sungura katika…Question 7
- Mwandishi ametumia mbinu mbalimbali kuwasilisha hadithi hii. Je, ni mbinu gani haikutumiwa na mwandishi?Question 8
- Kulingana na kifungu:Question 9
- Kwa nini Simba alimla Panya buku?Question 10
- Maana ya "kitanda usichokilalia hujui kunguni wake" kulingana na kifungu ni:Question 11
- Nahau 'moyo mkunjufu' imetumiwa katika kifungu. Maana yake ni:Question 12