CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 12
Nahau 'moyo mkunjufu' imetumiwa katika kifungu. Maana yake ni:
From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
12. Nahau 'moyo mkunjufu' imetumiwa katika kifungu. Maana yake ni:
- AA. moyo wazi / mkunjufu na wenye furaha
- BB. moyo unaovumilia mazito
- CC. moyo thabiti
- DD. moyo wenye huruma
Answer
A. A. moyo wazi / mkunjufu na wenye furaha
Jibu sahihi: A. moyo wazi / mkunjufu na wenye furaha.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Kulingana na aya ya kwanza, huduma katika asasi za kijamii:Question 13
- "Katika familia baadhi ya wazazi hawana uwezo wa kuwapa wanao elimu kutokana na changamoto za umaskini na nyingine za…Question 14
- Aya ya pili inasisitiza jambo gani katika utoaji wa huduma?Question 15
- 'Yeyote anayedai hongo ni kupe anayenyonya damu ya wasio na hatia.' Kauli hii imetumia mbinu gani ya lugha?Question 16
- Mambo yafuatayo yanaweza kufanywa katika utoaji wa huduma katika asasi za kijamii isipokuwa:Question 17
- Kulingana na jedwali hili, ni mchezo upi ambao shule tatu zilipata kushiriki isipokuwa shule moja tu?Question 18