naQonda

CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 18

Kulingana na jedwali hili, ni mchezo upi ambao shule tatu zilipata kushiriki isipokuwa shule moja tu?

From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Soma kifungu na jedwali lifuatalo kisha ujibu maswali kuanzia la 18 hadi la 20.
Wakati wa mashindano kati ya Jikaze, shule zifuatazo zilishiriki: Esise, Manga, Tale na Mwinamo. Katika mashindano hiyo zipo baadhi ya shule zilizoibuka na ushindi zikawa "championi". Wachezaji wakahimizwa kuwa asiyekubali kushindwa si mshindani. Jedwali lifuatalo linaonyesha michezo mbalimbali ambayo kila shule ilishiriki:

Esise: Vikapu, Ragbi, Voliboli, Soka
Manga: Hoki, Vikapu, Soka, Handiboli
Tale: Voliboli, Hoki, Ragbi, Voliboli
Mwinamo: Soka, Voliboli, Vikapu, Ragbi

18. Kulingana na jedwali hili, ni mchezo upi ambao shule tatu zilipata kushiriki isipokuwa shule moja tu?

  1. AA. Voliboli
  2. BB. Handiboli
  3. CC. Hoki
  4. DD. Soka

Answer

A. A. Voliboli

Jibu sahihi: A. Voliboli.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test