naQonda

CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 23

Mbali na ugonjwa wa kisukari na saratani, ni ugonjwa gani mwingine ambao hutokana na mienendo ya maisha?

From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Matamshi na Kusikiliza kwa Kina

23. Mbali na ugonjwa wa kisukari na saratani, ni ugonjwa gani mwingine ambao hutokana na mienendo ya maisha?

  1. AA. Kipindupindu
  2. BB. Malaria
  3. CC. Kifuakikuu
  4. DD. Shinikizo la damu

Answer

D. D. Shinikizo la damu

Jibu sahihi: D. Shinikizo la damu.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test