naQonda

CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 26

Kifungu kifuatacho kina nafasi ya 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 26:

From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Sarufi, Msamiati, Methali na Tamathali za Usemi

Kifungu kifuatacho kina nafasi ya 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi hizo.
Ukosefu wa hamasisho kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa ___26___ madhara ___27___. Magonjwa haya ___28___ mapema yataathiri jamii ___29___. Hakika, ___30___. Wagonjwa maskini ___31___ zaidi ___32___ walio na uwezo kifedha. Gharama huwa ghali. Ugonjwa wa kansa ___33___ yaani saratani, umeongeza vilio katika familia nyingi. Wahudumu wa afya wanapaswa kutoa hamasisho ili ___34___ jamii kuandama mienendo ___35___.

26. Kifungu kifuatacho kina nafasi ya 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 26:

  1. AA. yamesababisha
  2. BB. umesababisha
  3. CC. imesababisha
  4. DD. lilisababisha

Answer

A. A. yamesababisha

Jibu sahihi: A. yamesababisha.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test