naQonda

CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 11

Maana ya "kitanda usichokilalia hujui kunguni wake" kulingana na kifungu ni:

From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

11. Maana ya "kitanda usichokilalia hujui kunguni wake" kulingana na kifungu ni:

  1. AA. Panya buku hakujua manufaa ya asali
  2. BB. Sungura alizoea kurina asali ya Simba
  3. CC. Sungura na Panya buku hawakujua shida alizopitia Simba kuwatunza nyuki
  4. DD. Sungura na Panya buku walizembea kutafuta chakula

Answer

C. C. Sungura na Panya buku hawakujua shida alizopitia Simba kuwatunza nyuki

Jibu sahihi: C. Sungura na Panya buku hawakujua shida alizopitia Simba kuwatunza nyuki.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test