CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 14
"Katika familia baadhi ya wazazi hawana uwezo wa kuwapa wanao elimu kutokana na changamoto za umaskini na nyingine za kimaisha." Chagua methali inayoweza…
From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
14. "Katika familia baadhi ya wazazi hawana uwezo wa kuwapa wanao elimu kutokana na changamoto za umaskini na nyingine za kimaisha." Chagua methali inayoweza kuelezea hali hii:
- AA. Maskini kupata ni mwenye nguvu kupenda
- BB. Mwenye nguvu mpishe
- CC. Dau la mnyonge haliendi joshi
- DD. Ng'ombe wa maskini hazai pacha
Answer
A. A. Maskini kupata ni mwenye nguvu kupenda
Jibu sahihi: A. Maskini kupata ni mwenye nguvu kupenda.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Aya ya pili inasisitiza jambo gani katika utoaji wa huduma?Question 15
- 'Yeyote anayedai hongo ni kupe anayenyonya damu ya wasio na hatia.' Kauli hii imetumia mbinu gani ya lugha?Question 16
- Mambo yafuatayo yanaweza kufanywa katika utoaji wa huduma katika asasi za kijamii isipokuwa:Question 17
- Kulingana na jedwali hili, ni mchezo upi ambao shule tatu zilipata kushiriki isipokuwa shule moja tu?Question 18
- Neno 'championi' limetumiwa katika kifungu. Kisawe chake si:Question 19
- Kifungu na jedwali hili limeonyesha kuwa:Question 20