naQonda

CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 16

'Yeyote anayedai hongo ni kupe anayenyonya damu ya wasio na hatia.' Kauli hii imetumia mbinu gani ya lugha?

From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

16. 'Yeyote anayedai hongo ni kupe anayenyonya damu ya wasio na hatia.' Kauli hii imetumia mbinu gani ya lugha?

  1. AA. Sadfa
  2. BB. Chuku
  3. CC. Sitiari
  4. DD. Tashhisi

Answer

C. C. Sitiari

Jibu sahihi: C. Sitiari.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test