CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 49
Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu:
From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
49. Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu:
- AA. Mwanafunzi hakusoma gazeti jana jioni.
- BB. Kitanda hakijatandikwa na mgeni.
- CC. Mwanafunzi hatatuzwa na mgeni.
- DD. Matomoko hayauzwi siku hizi.
Answer
B. B. Kitanda hakijatandikwa na mgeni.
Jibu sahihi: B. Kitanda hakijatandikwa na mgeni..
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Ni sentensi ipi iliyo na kivumishi kiulizi?Question 50
- Kulingana na kifungu ni kweli kuwa:Question 1
- Kulingana na kifungu hiki, kilimo hutegemea sekta zifuatazo isipokuwa:Question 2
- Kwa mujibu wa kifungu, kilimo kinahusisha kila mmoja katika jamii kwani:Question 3
- Kifungu kimebainisha kuwa:Question 4
- Neno 'muhali' limetumiwa katika kifungu. Maana yake ni:Question 5