CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 48
Tegua kitendawili kifuatacho: Nimechinja ng'ombe wangu; ngozi haramu, nyama haramu, lakini mchuzi ni halali.
From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
48. Tegua kitendawili kifuatacho: Nimechinja ng'ombe wangu; ngozi haramu, nyama haramu, lakini mchuzi ni halali.
- AA. mpunga
- BB. mahindi
- CC. samaki
- DD. muwa
Answer
D. D. muwa
Jibu sahihi: D. muwa.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu:Question 49
- Ni sentensi ipi iliyo na kivumishi kiulizi?Question 50
- Kulingana na kifungu ni kweli kuwa:Question 1
- Kulingana na kifungu hiki, kilimo hutegemea sekta zifuatazo isipokuwa:Question 2
- Kwa mujibu wa kifungu, kilimo kinahusisha kila mmoja katika jamii kwani:Question 3
- Kifungu kimebainisha kuwa:Question 4