naQonda

CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 46

Bainisha usemi wa taarifa wa: "Mwanangu nitakulipia karo kesho," Baba alimwambia mwanawe.

From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi

46. Bainisha usemi wa taarifa wa: "Mwanangu nitakulipia karo kesho," Baba alimwambia mwanawe.

  1. AA. Baba alimwambia mwanawe kuwa atamlipia karo kesho
  2. BB. Baba alimwambia mwanawe kuwa angemlipia karo siku iliyofuata
  3. CC. Baba alimwambia mwanawe kuwa atamlipa karo siku iliyofuata
  4. DD. Baba alimwambia mwanawe kuwa nitakulipia karo siku inayofuata

Answer

B. B. Baba alimwambia mwanawe kuwa angemlipia karo siku iliyofuata

Jibu sahihi: B. Baba alimwambia mwanawe kuwa angemlipia karo siku iliyofuata.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test