CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 45
Chagua sentensi iliyotumia kihisishi kifaacho:
From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
45. Chagua sentensi iliyotumia kihisishi kifaacho:
- AA. Pukachaka! Ametoa maoni mazuri.
- BB. Alhamdulilahi! Chai yote imemwagika.
- CC. Ebo! Hata wewe umejihesabu miongoni mwa watu mashuhuri?
- DD. Hewala! Timu yetu imechapwa mabao mawili kwa nunge.
Answer
C. C. Ebo! Hata wewe umejihesabu miongoni mwa watu mashuhuri?
Jibu sahihi: C. Ebo! Hata wewe umejihesabu miongoni mwa watu mashuhuri?.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Bainisha usemi wa taarifa wa: "Mwanangu nitakulipia karo kesho," Baba alimwambia mwanawe.Question 46
- Chagua sentensi yenye nomino dhahania:Question 47
- Tegua kitendawili kifuatacho: Nimechinja ng'ombe wangu; ngozi haramu, nyama haramu, lakini mchuzi ni halali.Question 48
- Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu:Question 49
- Ni sentensi ipi iliyo na kivumishi kiulizi?Question 50
- Kulingana na kifungu ni kweli kuwa:Question 1