CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 44
Kiambishi 'ka' kimetumikaje katika sentensi hii? Mkulima alinunua mbegu, akalima shamba, akapanda mbegu na kupalilia zilipoota.
From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
44. Kiambishi 'ka' kimetumikaje katika sentensi hii? Mkulima alinunua mbegu, akalima shamba, akapanda mbegu na kupalilia zilipoota.
- AA. Kuonyesha hali ya kufuatana kwa vitendo
- BB. Kuonyesha hali ya kuendelea kwa vitendo
- CC. Kuonyesha wakati uliopita
- DD. Kuonyesha hali ya masharti
Answer
A. A. Kuonyesha hali ya kufuatana kwa vitendo
Jibu sahihi: A. Kuonyesha hali ya kufuatana kwa vitendo.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi iliyotumia kihisishi kifaacho:Question 45
- Bainisha usemi wa taarifa wa: "Mwanangu nitakulipia karo kesho," Baba alimwambia mwanawe.Question 46
- Chagua sentensi yenye nomino dhahania:Question 47
- Tegua kitendawili kifuatacho: Nimechinja ng'ombe wangu; ngozi haramu, nyama haramu, lakini mchuzi ni halali.Question 48
- Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu:Question 49
- Ni sentensi ipi iliyo na kivumishi kiulizi?Question 50