naQonda

CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 43

Tambua aina ya kielezi kilichokolezwa katika sentensi ifuatayo: Wachezaji walipambana kufa na kupona na hatimaye wakaibuka na ushindi.

From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi

43. Tambua aina ya kielezi kilichokolezwa katika sentensi ifuatayo: Wachezaji walipambana kufa na kupona na hatimaye wakaibuka na ushindi.

  1. AA. Kielezi kifani
  2. BB. Kielezi cha mkazo
  3. CC. Kielezi cha namna
  4. DD. Kielezi kikariri

Answer

C. C. Kielezi cha namna

Jibu sahihi: C. Kielezi cha namna.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test