CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 42
Tambua neno lisilo katika ngeli ya U-ZI:
From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
42. Tambua neno lisilo katika ngeli ya U-ZI:
- AA. Ugwe
- BB. Nyasi
- CC. Ulumbi
- DD. Wayo
Answer
B. B. Nyasi
Jibu sahihi: B. Nyasi.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Tambua aina ya kielezi kilichokolezwa katika sentensi ifuatayo: Wachezaji walipambana kufa na kupona na hatimaye…Question 43
- Kiambishi 'ka' kimetumikaje katika sentensi hii? Mkulima alinunua mbegu, akalima shamba, akapanda mbegu na kupalilia…Question 44
- Chagua sentensi iliyotumia kihisishi kifaacho:Question 45
- Bainisha usemi wa taarifa wa: "Mwanangu nitakulipia karo kesho," Baba alimwambia mwanawe.Question 46
- Chagua sentensi yenye nomino dhahania:Question 47
- Tegua kitendawili kifuatacho: Nimechinja ng'ombe wangu; ngozi haramu, nyama haramu, lakini mchuzi ni halali.Question 48