CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 39
Kitenzi shikana kiko katika kauli ya kutendana. Je, ni kitenzi gani kisichokuwa katika kauli ya kutendesha?
From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
39. Kitenzi shikana kiko katika kauli ya kutendana. Je, ni kitenzi gani kisichokuwa katika kauli ya kutendesha?
- AA. Kimbisha
- BB. Juvya
- CC. Ogofya
- DD. Igiza
Answer
D. D. Igiza
Jibu sahihi: D. Igiza.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Kinyume cha kihusishi chini ya ni juu ya. Je, kinyume cha 'kando ya' ni:Question 40
- Chagua sentensi iliyo sahihi kisarufi:Question 41
- Tambua neno lisilo katika ngeli ya U-ZI:Question 42
- Tambua aina ya kielezi kilichokolezwa katika sentensi ifuatayo: Wachezaji walipambana kufa na kupona na hatimaye…Question 43
- Kiambishi 'ka' kimetumikaje katika sentensi hii? Mkulima alinunua mbegu, akalima shamba, akapanda mbegu na kupalilia…Question 44
- Chagua sentensi iliyotumia kihisishi kifaacho:Question 45