CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 37
Chagua sentensi ambayo haiko katika hali ya masharti:
From Test 84 — Kiswahili Paper 1 (KJSEA) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
37. Chagua sentensi ambayo haiko katika hali ya masharti:
- AA. Tungalimchagua tungalipata maendeleo makubwa.
- BB. Ukiwa na ujuzi wa kusakura mtandaoni utajifunza mengi.
- CC. Sofia angecheza kwa bidii angetuzwa.
- DD. Wageni waja nyumbani leo jioni.
Answer
D. D. Wageni waja nyumbani leo jioni.
Jibu sahihi: D. Wageni waja nyumbani leo jioni..
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Sentensi, 'Mwalimu amenunua gari lake,' ina maana zifuatazo isipokuwa:Question 38
- Kitenzi shikana kiko katika kauli ya kutendana. Je, ni kitenzi gani kisichokuwa katika kauli ya kutendesha?Question 39
- Kinyume cha kihusishi chini ya ni juu ya. Je, kinyume cha 'kando ya' ni:Question 40
- Chagua sentensi iliyo sahihi kisarufi:Question 41
- Tambua neno lisilo katika ngeli ya U-ZI:Question 42
- Tambua aina ya kielezi kilichokolezwa katika sentensi ifuatayo: Wachezaji walipambana kufa na kupona na hatimaye…Question 43