CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 3)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · Revision 2026 (Booklet 3) · 50 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati.
All 50 questions with answers
- Question 1: Vyanda kwenye mikono ya binadamu maradufu niAnswer: B. kumi
- Question 2: Kidole kimojaAnswer: C. hakivunji chawa
- Question 3: Ni kidole kipi hutumika sana kuwanyoshea watu?Answer: B. Cha shahada
- Question 4: Chanda chema huvikwaAnswer: B. pete
- Question 5: Kidole gumba ni kidole gani?Answer: D. Kikubwa
- Question 6: Ni kidole kipi kinachotumiwa visivyoAnswer: D. shahada
- Question 7: Unapomwashiria mtu kwa kidole cha shahada, ni vidole vingapi hukuelekea?Answer: C. Vitatu
- Question 8: Wageni walitoka wapi?Answer: D. Ugiriki
- Question 9: Wengine hawakukaa sebuleni kwa sababuAnswer: D. walitaka kujionea mapishi ya kiasili
- Question 10: Ni nani aliyetumia bizari na tangawizi?Answer: A. Hakuna
- Question 11: Kifungu kukoka moto kimetumiwa katika ufahamu maana yake niAnswer: A. kuwasha moto
- Question 12: Sentensi ipi si kweli?Answer: D. Jirani alikuwa akikuna nazi.
- Question 13: Ni nini maana ya “tukakubali kwa kuwa hatukuwa na budi?Answer: C. Tulikubali kwa sababu ilitulazimu.
- Question 14: Kipwerere alikuwa na nywele za singa. Je, hizi ni nywele za aina gani?Answer: B. Nywele ndefu laini na zilizonyooka
- Question 15: Kipwerere aliugua kwa muda waAnswer: B. miaka kumi
- Question 16: Bwana Au alimwoa kipwerere kwa sababuAnswer: C. alikuwa na mali
- Question 17: Vijana waliomkosa KipwerereAnswer: A. waliwahasimu wazee wake
- Question 18: Wazee wa Kipwerere waliamini agua lipi?Answer: D. Shetani wa mzimuni alimshika na kumpanda kichwani.
- Question 19: Kipwerere alikuwa wa kabila laAnswer: A. shirazi
- Question 20: Maajabu aliyokuwa amekutana nayo Emili akielekea mtoni niAnswer: C. kukutana na kobe anayesema
- Question 21: Kwa nini kobe alimzungumzia Emili katika mshtuko wake?Answer: B. Kwa sababu Emili alishtukiwa kuona kuwa hata kobe anazungumza.
- Question 22: “Huku macho yamemtoka” maana yake niAnswer: D. Alishtuka na kushangaa kuyaona maajabu.
- Question 23: Ni kipi hasa kilimfanya mzee kobe kuchukua umbo la kikobe?Answer: C. Tamaa
- Question 24: Mzee kobe aliogopa kufichua siri ya kwa sababuAnswer: D. angegeuka mnyama zaidi ya kobe
- Question 25: Angeifichua siri hii angeotaAnswer: C. manyoya
- Question 26: Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 26.Answer: C. nina
- Question 27: Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 27.Answer: B. kwa sababu
- Question 28: Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 28.Answer: A. kuwaeleza
- Question 29: Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 29.Answer: B. ya
- Question 30: Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 30.Answer: D. kuwa
- Question 31: Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 31.Answer: C. hatua
- Question 32: Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 32.Answer: C. mitatu
- Question 33: Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 33.Answer: A. nzuri
- Question 34: Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 34.Answer: B. ili
- Question 35: Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 35.Answer: B. cha
- Question 36: Kuanzia nambari ya 36 hadi 50, jibu kila swali kulingana na maagizo. 36. Hii picha ya kifaa cha nyumbani. Kifaa chenyewe kinaitwaje?Answer: C. bilauri
- Question 37: Hili ni jedwali la maneno. Chagua jibu linaloonyesha nomino?Answer: B. Wema, Uzuri, Upendo
- Question 38: Maneno haya yanafuatana vipi katika kamusi i) Pera ii) Papai iii) Pesheni iv) ParachichiAnswer: B. (ii) (iv) (i) (iii)
- Question 39: Ni majina yapi yaliyo katika ngeli moja?Answer: C. Ubao, uwanja, ukuta
- Question 40: Wingi wa sentensi hii ni: Gari lilioshwa jana.Answer: C. Magari yalioshwa jana
- Question 41: Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Answer: A. Kijito hicho kina maji safi.
- Question 42: Chagua jibu ambalo lina maneno ambayo ni visaweAnswer: A. ndege - nyuni
- Question 43: Kipi ni kimilikishi katika maneno yafuatayoAnswer: B. changu
- Question 44: Kamilisha pengo kwa neno mwafaka: Sisi ___ tulipewa zawadi.Answer: C. ndisi
- Question 45: Chagua nomino isiyopatikana katika ngeli ya I-ZIAnswer: C. gari
- Question 46: Ni neno lipi katika ya haya ni la KiswahiliAnswer: D. kunya
- Question 47: Kisawe cha neno maskini niAnswer: C. fukara
- Question 48: Tambua nomino kwenye sentensi hii: Kusoma kwingi kuna faida nyingi.Answer: A. kusoma
- Question 49: Shairi lenye mishororo mitatu katika kila ubeti huitwaAnswer: A. tathlitha
- Question 50: Chagua kivumishi cha sifa kati ya maneno hayaAnswer: A. marembo