CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 32
Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 32.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Kifungu kifuatacho kina nafasi nambari ya 26 hadi 35. Jaza kila nafasi ukitumia jibu mwafaka.
Hamjambo? Leo hii __26__ furaha kubwa __27__ ya kupata nafasi hii ya __28__ mafanikio na baadhi __29__ shida zinazowakabili wakulima wetu.
Kwanza kabisa, mtakumbuka __30__ kilimo cha kahawa na majani chai kimepiga __31__ kubwa katika muda wa miaka __32__ iliyopita. Wakulima wamepegwa mbegu __33__ na miche yenye afya __34__ kutumika kuinua kiwango __35__ ubora wa mazao haya.
32. Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 32.
- Atatu
- Bwatatu
- Cmitatu
- Dwa tatu
Answer
C. mitatu
Miaka (ngeli ya U-I): mitatu.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 33.Question 33
- Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 34.Question 34
- Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 35.Question 35
- Kuanzia nambari ya 36 hadi 50, jibu kila swali kulingana na maagizo. 36. Hii picha ya kifaa cha nyumbani. Kifaa…Question 36
- Hili ni jedwali la maneno. Chagua jibu linaloonyesha nomino?Question 37
- Maneno haya yanafuatana vipi katika kamusi i) Pera ii) Papai iii) Pesheni iv) ParachichiQuestion 38