naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 33

Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 33.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Kifungu kifuatacho kina nafasi nambari ya 26 hadi 35. Jaza kila nafasi ukitumia jibu mwafaka.
Hamjambo? Leo hii __26__ furaha kubwa __27__ ya kupata nafasi hii ya __28__ mafanikio na baadhi __29__ shida zinazowakabili wakulima wetu.
Kwanza kabisa, mtakumbuka __30__ kilimo cha kahawa na majani chai kimepiga __31__ kubwa katika muda wa miaka __32__ iliyopita. Wakulima wamepegwa mbegu __33__ na miche yenye afya __34__ kutumika kuinua kiwango __35__ ubora wa mazao haya.

33. Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 33.

  1. Anzuri
  2. Bzuri
  3. Cmzuri
  4. Dwazuri

Answer

A. nzuri

Mbegu (ngeli ya I-ZI): nzuri.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test