CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 36
Kuanzia nambari ya 36 hadi 50, jibu kila swali kulingana na maagizo. 36. Hii picha ya kifaa cha nyumbani. Kifaa chenyewe kinaitwaje?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Msamiati, Vifaa vya Nyumbani

Kuanzia nambari ya 36 hadi 50, jibu kila swali kulingana na maagizo.
36. Hii picha ya kifaa cha nyumbani. Kifaa chenyewe kinaitwaje?
- Akikombe
- Bkinu
- Cbilauri
- Dchupa
Answer
C. bilauri
Glasi ya kunywea isiyo na mkono ni bilauri; kikombe kina mkono.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Hili ni jedwali la maneno. Chagua jibu linaloonyesha nomino?Question 37
- Maneno haya yanafuatana vipi katika kamusi i) Pera ii) Papai iii) Pesheni iv) ParachichiQuestion 38
- Ni majina yapi yaliyo katika ngeli moja?Question 39
- Wingi wa sentensi hii ni: Gari lilioshwa jana.Question 40
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 41
- Chagua jibu ambalo lina maneno ambayo ni visaweQuestion 42